Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA ROTARY TANZANIA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa Rotary Interantional 2012-13, Sakuji Tanaka, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya kumaliza mazungumzo wakati Rais huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam jana, akiwa na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Rotary Tanzania, na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya mazungumzo wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, jana.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...