Wabunge Wateule wa Rais waapishwa Bungeni Mjini Dodoma Leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Felister Bura, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Mbunge wa Kuteuliwa James Fancis Mbatia akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Mbunge wa Kuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Mbunge wa Kuteuliwa, Sospeter Mwijarubi Muhongo akiapa, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment