BMT yamuaga Dk. Nchimbi na Kumkaribisha Dk. Mukangara Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Waziri wa zamani wa wizara hiyo ambaye kwa sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wageni waalikwa ambao ni viongozi mbalimbali wa vyama vya michezo. |
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akihutubia hafla hiyo. |
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Dioniz Malinzi akikabidhi zawadi kwa Dk. Emmanuel Nchimbi. |
Wasanii wa kikundi cha Afro Dance wakitumbuiza. |
Msanii wa Kikundi cha Afro Dance, Deborah Dickson akionyesha kipaji chake. |
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Dioniz Malinzi akikabidhi zawadi kwa Amos Makala. |
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Dioniz Malinzi akikabidhi zawadi kwa Dk. Fenella Mukangara. |
Tanzania Golf Union (TGU), nao walitoa zawadi ya kinyago. Kulia ni Foti Gwebe wa TGU |
Wakati wa misosi uliwadia. |
Nyama choma za kumwaga. |
JKT Still Band wakitumbuiza. |
Mwenyekiti wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Zuwena Iddi Kipingu (fulana nyekundu), akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga (kulia kwake). |
Mwenyekiti wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Zuwena Iddi Kipingu akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara |
No comments:
Post a Comment