Taswira Za Mheshimiwa Godbless Lema Akiung'uruma Kwenye Mkutano Wa Hadhara Wa CHADEMA Manzese Jijini Dar es Salaam


Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA)Mheshimiwa Godbles Lema Akiunguruma leo kwenye mkututano wa hadhara Manzese jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Umoja wa Baraza la Vijana wa CHADEMA John Henche(kushoto)akifwatilia kwa makini mkutano wa Chadema Manzese leo

Mkuu wa Kurugenzi ya Ulinzi na Usalama ya Chadema WilfredLwakatare(Kulia)akifwatilia kwa makini mkutano wa chadema leo



Sehemu ya Umati Mkubwa wa Wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa chadema Manzese jijini Dar es Salaam Leo.Picha na Kurugenzi Ya Habari-CHADEMA
No comments:
Post a Comment