Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

RAIS WA ZANZIBAR, AKUTANA NA UJUMBE WA WAKUU WA VYUO VIKUU VYA CHINA, MJINI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akizungumza na  Ujumbe wa Wakuu wa Vyuo Vikuu vya China, unaongozwa na Dkt. Jiang Bo (wa tatu kushoto) wakati ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais na kuzumza nao leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wakuu wa Vyuo Vikuu vya China, Dkt.Jiang Bo,wakati ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...