Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Rais Dk. Shein ahudhuria Uzinduzi wa Shughuli za Zakka Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizindua Shuhuli za Zakka
Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar
leo,(kushoto) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad,na (kulia) Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa
Biashara Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui.
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi
wa Shuhuli za zakka Zanzibar,wakisikiliza Nasaha zilizotolewa kwa
waislamu mbali mbali wa Miji ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizindua Shuhuli za utoaji wa Zakka,katika ukumbi wa
Salama bwawani Mjini Unguja leo.
Sheikh khamis Abdulhamid akitoa mawaidha  juu ya umuhimu
na wajibu wa kutoa Zakka,katika hfala ya uzinduzi wa Shuhuli za Zakka
Zanzibar,katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
leo,uliofanywa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,
Baadhi ya Viongozi wa Kidini Mashekhe na wananchi
wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika
uzinduzi wa Shuhuli za Zakka Zanzibar,uliofanywa na  Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,
leo.
Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa Biashara
Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui,akisema machache na
kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, kuzindua   Shuhuli za Zakka
Zanzibar,katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...