Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Rais  Kikwete Akiwa Addis Ababa

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
"Karibu Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt  Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012  ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Picha na IKULU

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...