Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

PINDA AKUTANA NA BALOZI WA SUDANI NCHINI, ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UMWAGILIAJI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini, Dkt. Yassir Mohamed Ali  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt. Yassir Mohamed Ali, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5, 2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha  Kutia Saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) kati ya Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kishuhudia utiaji saini   wa Mkataba wa Makubaliano  (MOU) kati ya  Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India uliofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5, 2012.Wakitia saini niWaziri wa  Kilimo na Maendeleo, Chakula  na Maendeleo ya Ushirika, Profesa Jumnne Maghembe (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jain, Bw. Atul Jain. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...