Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

MAMIA WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NYUMBANI SINZA VATICAN MIDA HII

Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wamesimama mbele ya geti la kuingilia nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Maeneo ya Sinza Vatican mida hii
Wakina Dada wakiwa nje ya Nyumba ya Marehemu Steven Kanumba Maeneo ya Sinza Vatican Mida hii ambapo msiba upo
Wananchi Wakiwa Upande wa pili wa barabara mbele ya nyumba ya marehemu Steven Kanumba Maeneo Ya Sinza
Wema Sepetu Akiongea na mmoja wa Wasanii Wa Maigizo katika katika eneo la Msiba mida hii katika Eneo la Sinza Vatican Nyumbani kwa Marehemu
 Wema Sepetu Akiingia Ndani kwaajili ya Kutoa Pole kwa Ndugu,jamaa na Marafiki waliofika Katika Msiba huo nyumbani kwake sinza vatican
Mbunge Wa Jimbo La Ubungo Mh John Mnyika akibadilishana mawazo na Mmoja wa Ndugu wa Marehemu Steven Kanumba katika Msiba uliopo Nyumbani Kwake Sinza Vatican Mida hii
Baadhi ya Jamaa,Ndugu na Marafiki wakiwa wanaingia Ndani ya Nyumba ya Marehemu Steven Kanumba iliyopo sinza vatican
Msanii Mwenza wa Marehemu Steven Kanumba Monalisa (aliyeinamisha kichwa chini) akiwa analia kwa uchungu  wa kumpoteza msanii mwenzao
Mwigizaji Mwenza wa Marehemu Steven Kanumba Natasha (Mama Monalisa) akiingia huku akilia kwa uchungu katika eneo la msiba ambao upo nyumbani kwa marehemu sinza vatican.Endelea Kutembelea Lukaza Blog Kwa Picha Zaidi

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...