Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI ‘WANAMICHEZO’ WA IKULU, AWABARIKI KUSHIRIKI BONANZA LA PASAKA DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanamichezo wa Ikulu, wakati akiwaaga na kuwatakia ushindi wakielekea kushiriki katika Bonanza maalum la Pasaka linaloanza leo Aprili 06, 2012, katika Viwanja vya Sigara (TCC Chang’ombe) jijini Dar es Salaam. Makamu alikutana na wanamichezo hao wa Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam, leo asubuhi Ikulu ya jijini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanamichezo wa Ikulu, (hawapo pichani) wakati akiwaaga na kuwatakia ushindi kuelekea kushiriki katika Bonanza maalum la Pasaka linaloanza leo Aprili 06, 2012, katika Viwanja vya Sigara (TCC Chang’ombe) jijini Dar es Salaam. Makamu alikutana na wanamichezo hao wa Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam, leo asubuhi Ikulu ya jijini. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ikulu, Peter  Ilomo (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mwinyiusi Hassan.  Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya wanamichezo wafanyakazi wa Ikulu, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akizungumza nao kuwapa Baraka za ushindi wakielekea kushiriki katika Bonanza maalum la Pasaka linaloanza leo Aprili 06, 2012, katika Viwanja vya Sigara (TCC Chang’ombe) jijini Dar es Salaam. Makamu alikutana na wanamichezo hao wa Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam, leo asubuhi Ikulu ya jijini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wafanyakazi  na wanamichezo wa Ofisi za Ikulu ya Dar es Salaam na Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo nao  na kuwatakia ushindi kuelekea kushiriki katika Bonanza maalum la Pasaka linaloanza leo Aprili 06, 2012, katika Viwanja vya Sigara (TCC Chang’ombe) jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi ‘wanamichezo’ Ikulu za Zanzibar na Dar es Salaam, wanaoelekea kushiriki Bonanza la Pasaka, baada ya mazungumzo nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 06, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...