Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.
          WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA  APOKEA KOMBE LA UEFA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwapungua watu waliofika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kushuhudia wakati alipokabidhiwa kombe la UEFA jijini Dar es salaam Machi 26, 2012.


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa pamoja na Meneja Mkuu wa Bia ya Heinken Afrika Mashariki Bw.KoenMorshiu's wakifunua kitambaa, kuonyesha kombe la Ulaya wakati Kampuni ya bia ya Heinken ambao ndiyo wadhamini wa kombe la Ulaya (UEFA) walipomkabidhi kombe hilo waziri mkuu leo ofisini kwake, Kampuni ya Henken pamoja na Shirikisho la mpira wa miguu la ulaya (UEFA) liko katika ziara ya kulitembeza kombe hilo katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini nchini Mexico na Asia nchini China na Tanzania na Kenya


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa pamoja na Meneja Mkuu wa Bia ya Heinken Afrika Mashariki Bw.KoenMorshiu's wakipiga makofi mara baada ya kufunua kitambaa kuonyesha kombe la Ulaya UEFA.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipiga picha na Kombe hilo pamoja na mawaziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Dk Fenella Mukangara, wa pili kutoka kushoto ni Dk Emmanuel Nchini Waziri wa wizara hiyo na Makamu wa kwanza wa shirikisho la mpira miguu nchini Tanzania (TFF) Athuman Nyamlani.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...