Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya (wa tatu kulia) akipokea maua kutoka kwa Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya huduma za ndege za Auric Air, Deepesh Gupta baada ya kuzindua safari za kwenda Mkoani Rukwa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya (wa tatu kulia) akipokea maua kutoka kwa Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya huduma za ndege za Auric Air, Deepesh Gupta baada ya kuzindua safari za kwenda Mkoani Rukwa kwa ndege katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana. Kulia kwa Manyanya ni Katibu Mkuu Menejiment ya Utumishi wa Umma, George Yambesi, Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aishi Hilal (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa, Salim Chima Mohamedi. (Picha na Robert Okanda).

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...