SIMBA KUZINDUA VIPINDI VYA TV, KUBORESHA TOVUTI
Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uzinduzi wa vipindi vya klabu hiyo katika Kituo cha Televisheni cha Clouds pamoja na maandalizi ya mechi dhidi ya Kiyovu ya Rwanda ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Baadhi ya waandishi
No comments:
Post a Comment