Bondia Amos Mwamakula a.k.a King of Miggo Tarehe 26 February 2012 Ndani ya maisha club!!
Bondia Amos Mwamakula a.k.a King of Miggo Tarehe 26 February 2012 Ndani ya maisha club atawasindikiza kikosi cha mizinga katika kutambulisha singo yake mpya itakwayo kwenda kwa jina la Bata Katika maadhi ya Mdukwa style.
Amos Mwamakula ni Bondia mwenye vipaji vingi kuachana na boxing pia ni mwanamuziki,actor kickboxing player n.k. Nyooote mnakaribishwa...
No comments:
Post a Comment