Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko, aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment