Tukio hilo linaelezwa kutokea wakati wanenguaji hao, Zawia pamoja na mwenzake wakisasambua kwa matarumbeta kwenye harusi kabla ya kufyatuliwa risasi zilizowajeruhi eneo la pajani na mwingine kwenye makalio. Hali za wagonjwa zinatajwa kuimarika licha ya kulazimika kuendelea kukaa hospitalini hapo kwa matibabu zaidi.
Picha na Geah Habib Wa HekaHeka
No comments:
Post a Comment