MWANADADA Farida A. Sekimonyo ametimiza ndoto zake kwa kuzindua Faridas Foundation ambayo ni taasisi inayojihusisha na kuisaidia jamii ya watu wenye ulemavu nchini Tanzania.
Uzinduzi huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Crystal Hall ulioko Blue Pearl Hotel katika jengo la Ubungo Plaza, jijini Dar, ukiambatana na burudani toka kwa walemavu mbalimbali wakiwemo Mabaga Fresh, na kundi la Kinoko ambalo lilinogesha kwa michezo wa baiskeli.
(Stori/Picha: Na Gabriel Ng’osha, Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata/GPL)
No comments:
Post a Comment