
Mdau akiangalia kitambulisho cha Taifa
cha mmoja wa maofisa alioongozana nao Rais Kikwete wakati alipokutana na
Watanzania waishio Poland katika hoteli ya Bristol jijini Warsaw usiku
wa kuamkia leo. Wengi wa wadau hawa walikuwa hawana habari kwamba
vitambulisho vya Taifa vimeshaanza kugawiwa kwa wananchi

Aliyewahi kuwa balozi wa Poland nchini Tanzania akijitambulisha

Mwalimu Anna Paciorek akiuliza swali

Padri akieleza jambo

Mmoja wa wadau akiuliza swali

Rais Kikwete akiongea na Watanzania hao

Hotuba na ufafanuzi wa mambo mbalimbali vinaendelea

Kila mmoja akimsikiliza Rais Kikwete kwa makini

Hotuba ikiendelea

Hapa ni kuhusu umuhimu wa ughaibuni kujenga nyumbani...

Mwalimu Anna PAciorek akisoma risala ya Watanzania wa Poland

Kaimu Balozi Mhe Christopher Mvula akifunua pazia la kikao hicho

Rais Kikwete akipokea risala toka kwa Mwalimu Anna Pacoirek

Wadau wakijitambulisha

Mama Salma Kikwete akiongea na familia ya Mdau Wambura.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment