WALANGUZI WA NISHATI YA MAFUTA MKOANI RUKWA KUKIONA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia
Stella Manyanya akizungumza katika kikao cha baraza la ushauri la
watumiaji wa nishati na maji nchini na wadau wake walipotembelea Mkoani
Rukwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za baraza hilo. Mkuu huyo wa Mkoa
alitoa pongezi kwa kazi nzuri wanayofanya na kuahidi kuwachukulia hatua
walanguzi wa nishati ya mafuta pamoja na wale wanasimamia kwa kushindwa
kufanya kazi yao vizuri. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Alhaj
Salum Mohammed Chima.
Mwenyekiti wa baraza la ushauri
watumiaji wa maji na nishati nchini Eng. Profesa Katima akizungumza
katika kikao hicho ambapo alisema kazi kubwa ya baraza hilo ni kutetea
na kulinda haki za watumiaji wa maji na nishati ambayo ni maji safi na
maji taka, umeme, petroli na gesi asilia.
Baadhi ya wadau wa mkutano huo
ambao ni vyombo vya ulinzi na usalama, Tanesco, EWURA Mkoa wa Rukwa,
wawakilishi wa sheli za mafuta na shirika la Maji safi na Maji taka Mkoa
wa Rukwa (SUWASA)
Wawakilishi wa baraza hilo Mkoani
Rukwa
Picha ya pamoja. (Picha na Hamza
Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa)
No comments:
Post a Comment