Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakirushwa kichura leo Katika
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam walipokamatwa kwa tuhuma za
kuandamana kushinikiza Sheikh Ponda aachiwe kwa dhamana.
Askari Kanzu akiwa amemkamata muumini wa Dini ya Kiislamu katika
pilikapilika za kudhibiti maandamano ya kushinikiza Mahakama imuachie
kwa dhamana Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda,
Dar es Salaam Baadhi ya watuhumiwa wa maandamano hayo
wakipandishwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa. Mmoja wa maaskari wakifunga
kamba iliwaandamanaji wasiingie Makao Makuu ya jeshi hilo, Askari wa kudhibiti ujambazi wakiwa kwenye
doria kusaidia kudhibiti maandamano.
No comments:
Post a Comment