TUKUMBUKE TULIKOTOKA
Makomandoo wa Uingereza akiwadhibiti baadhi ya watu waliotuhumia katika maasi nchini Tanzania 1964.
Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere (katikati) akijiandaa kuondoka nchini kwenda Umoja wa Mataifa (UN) kudai Uhuru wa Tanganyika.
Baba
wa Taifa, Hayati Julius Nyerere (kulia) akimlaki aliyekuwa Rais wa
Malawi, Hayati Kamuzu Banda katika moja ya ziara zake hapa nchi.
Fuvu la Chifu Mkwawa wa Wahehe
Bendi ya shule moja wilayani Biharamulo 1957. Karibu wote hawana viatu.
Darsa Chuo cha Mzumbe Morogoro enzi hizo
Dar es Salaam enzi hizo huo ni Mtaa wa Sokine Drive sasa
Mmoja wa mitaa ya Jiji la Dar es Salaam enzi hizo
No comments:
Post a Comment