KIKOSI CHA JESHI WANAMAJI TANZANIA WATEMBELEA MELI YA KIRUSI YA KUPAMBANA NA MAHARAMIA
Meja wa jeshi la wanamaji
la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza mmoja wa askari wa jeshi la wanamaji Tanzania wakati alipokuwa akimuliza swali kuhusiana
na matumizi ya bunduki ya kisasa
wanayotumia katika kufanya ulinzi wa kupambana na uharamia katika bahari ya
hindi wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant
Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika
bandari ya Dar es Salaam, kwa
lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana
februari 20 2013.
Afisa Mwandamizi
wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha wanajeshi wa jeshi la maji la Tanzania moja
ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana na uharamia unaofanywa na
magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa tanzania walipotembela
katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya
kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari20 2013.
Wanajeshi wa jeshi la
wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki
huku Luteni wa jeshi la Wanamaji
kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff
akiwapa maelezo juu ya siraha hizo ambazo zinatumika katika kupambana na
uharamia baharini wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina
ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia
nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka jana februari 20 2013.
Wanajeshi wa jeshi la
wanamaji kutoka Urusi wakinyanyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa
elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya
kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,
iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka jana februari 20 2013.
Luteni Kanali wa jeshi
la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (kushoto)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi
la Wanamaji wa Tanzania jinsi moja
ya vifaa vya kivita wanavyotumia katika
ulinzi wa kupambana na waharamia wakati wanapofanya doria baharini. wakati
walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye
jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es
Salaam, kwa lengo la kufanya ziara
ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir
Mavlihanoff (watatu kutoka
kulia)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji nchini jinsi nchini yao inavyofanya ulinzi wa
kupambana na waharamia kwa kutumia helikopta wakati walipotembelea katika Meli
ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka jana februari 20 2013.
Mkuu wa msafara wa meli
ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu kwa wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la
Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi
hao walipotembelea katika meli ya kivita
aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,
iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka jana februari 20 2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji
kautoka Urusi Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi
Tagir Mavlihanoff.Picha zote na Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment