Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

TIGO YATOA MSAADA WA SH. MIL 32 MPANGO WA DAMU SALAMA

 Ofisa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Alex Msigara (kulia), akimkabidhi Meneja Programu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Efesper Nkya (kushoto), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 32 za kusaidia uhamasishaji ucangiaji wa damu kwa hiari kwenye maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika Kitaifa mjini Lindi Desemba Mosi, mwaka huu. Anayeshuhudia katikati ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Meneja Masoko wa Tigo, Alex Msigara (kushoto) akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa  Uhusiano wa Tigo, Tully Mwaikenda
 Meneja Programu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Efesper Nkya (kushoto), akitoa shukurani kwa kampuni ya Tigo
Waandishi wa habari wakiwa makini kusikiliza wakati wa mkutano huo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...