Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

RAIS KIKWETE APONGEZWA NA CCM MKOA WA DODOMA, ATEMBELEA MRADI WA ZABIBU

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia umati wa wana CCM wa mkoa wa Dodoma walioandaa hafla ya kumpongeza kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM. Hafla hii imefanyika makao makuu ya CCM Dodoma.
Meza kuu ikifurahia wimbo wa kuisifu CCM kwenye hafla hiyo.
umati wa wana CCM wa mkoa wa Dodoma walioandaa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na viongozi wengine wakati alopotembelea Mradi wa Zabibu,Mjini Dodoma.PICHA NA IKULU.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...