Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja waendelea kutoa maoni kuhusu Katiba mpya
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (aliyesimama),
akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A,
Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13
Oktoba, 2012 na Tume hiyo, kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba
kijijini hapo. Wengine pichani kutoka kushoto ni Wajumbe wa Tume hiyo,
Joseph Butiku (wa pili), Profesa Paramagamba Kabudi, Katibu wa Tume
Assaa Rashid na Naibu Katibu Casmir Kyuki.
Wananchi
wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012
na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo wenye malengo ya
kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba mpya.
Wananchi
wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba,
2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo kwa ajili ya
kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Akina
mama wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini
Unguja, wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13.
Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo kwa ajili ya
kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Wananchi
wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakifuatilia kwa makini mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba,
2012 na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo kwa ajili ya
kukusanya maoni yao kuhusu mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.
Said
Haji Makame (21), mkazi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A,
Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya, wakati
wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13. Oktoba, 2012 na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo.
Yusuph
Juma (60), mkazi wa Kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa
Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati wa mkutano
ulioitishwa jana tarehe 13. OOktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko ya
Katiba kijijini hapo.
Tatu
Maalim Mganga (65), mkazi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini A,
Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati
wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya Mabadiliko
ya Katiba kijijini hapo.
Riziki
Khamis Shukuru (20), mkazi wa kijiji cha Kidombo, Wilaya ya Kaskazini
A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati
wa mkutano ulioitishwa jana tarehe 13 Oktoba, 2012 na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba kijijini hapo. (Picha zote na Ismail Ngayonga, Ofisa habari wa Tume ya Katiba)
No comments:
Post a Comment