MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM-TAIFA, MJINI DODOMA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wazazi CCM-Taifa. Mkutano
huo unafanyika sambamba na uchaguzi wa Viongozi wapya wa Jumuiya hiyo,
katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango, mjini Dodoma leo
Oktoba 31, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango, mjini Dodoma leo Oktoba 31,
2012 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya
Wazazi CCM-Taifa. Mkutano huo unafanyika sambamba na uchaguzi wa
Viongozi wapya wa Jumuiya hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
William Malecela, wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
Chuo cha Mipango, mjini Dodoma leo Oktoba 31, 2012 baada ya kufungua
rasmi Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wazazi CCM-Taifa. Mkutano huo
unafanyika sambamba na uchaguzi wa Viongozi wapya wa Jumuiya hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya
wajumbe wa mkutano huo baada ya ufunguzi uliofanyika leo, mjini
Dodoma.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment