BONDIA THOMAS MASHALI AMTWANGA MEDY SEBYALA WA UGANDA KWA POINT
bondia Thomas Mashali akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Tanzania pamoja na wa Afrika Mashariki na Kati |
Rais wa TPBO Yasini Abdallah akisalimiana na Prof.J kwenye kona ya Mashali |
Baadhi ya Viongozi pamoja na mgeni rasmi wakisimama kwa ajili ya wimbo wa tafa kabla ya mpambano |
BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa ajili ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mashali alishinda kwa Point |
Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa point |

Bondia Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa Afrika Mashaliki katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali |
Mbunge wa Kinondoni Iddy Azani akiwa katika picha na Bondia Thomas Mashali baada ya kuvishwa ubingwa wa Afrika Mashariki |
Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana
makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea
ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment