Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Waziri Mkuu akagua chanzo cha maji cha Ntomoko, Kondoa


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Haubi, wilayani Kondoa  akiwa njiani kuelekea kwenye chanzo cha maji cha Ntomoko wilayani humo jana, Agust 12, 2012. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua chanzo cha maji cha Ntomoko wilayani Kondoa, akiwa katika ziara ya siku mbili wilayani humo jana, Agust 12, 2012. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Dk. Benilith Mahenge na kulia ni Mkuu wa  Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Diwani wa Kata ya Haudu, wilayani Kondoa, Gaspar Mwendu baada ya kuzungumza  na wananchi wa kijiji cha Ntomoko wakati alipokuwa akikagua chanzo chao cha maji jana, Agust 12, 2012.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...