Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

SANDE KIZITO WA UGANDA NA MTANZANIA RAMADHANI SHAURI WAMEPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI PILI

Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa  litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri
Rais wa TPBO Yasin Abdallah kulia akepeana mkono wa idi na Mtangazaji wa Radio Times Kondo walipokutana wakati wa sikukuu ya idi
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akiwa  ameshikilia mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauri wa pili kushoto na Sande Kizito wa Uganda kushoto ni Katibu wa TPBC Nemes Kavishe na Rais wa TPBO Yasin Abdallah

UBINGWA WA IBF AFRICA HADHARANI KESHO
Ramadhani Shauri wa Tanzania kushoto na Sande Kizito wa Uganda wakitunishiana misuri leo wakati wa upimaji wa uziti picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...