Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Afanya Ziara Maalum katika Mikoa Ya Kusini na Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Viongozi mbali mbali,wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba jana akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Dk Salim Ahmed Salim na Viongozi mbali mbali,wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba jana akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini.Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment