Mwili wa Mwandishi Alfred Mbogora Wasafirishwa Kwenda Musoma Kwa mazishi.
Mamia ya Waandishi wa habari leo wamejitokeza kwa wingi kumuaga mwandishi mwenzao Alfred Mbogora aliyefariki jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua ghafla, mwili wa marehemu umesafirishwa jana kwenda Musoma.
No comments:
Post a Comment