Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halihalisi Saed Kubenea Aitaka Serikali Kufuta Tamko Lake La Kulifungia Gazeti Hilo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti yaliyolalamikiwa na Serikali.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Kampuni hiyo juu ya malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa kwa gazeti lake la Mwana halisi jana ambapo alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja Tamko lake Kushoto ni Mhariri wa Gazeti  hilo Bw, Jabir Idrissa.Picha na Philemon Solomon

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...