Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

SOLO THANG AKANA KUMWIMBA WEMA SEPETU KATIKA TRACK YAKE YA MISS TANZANIA



Pini jipya Solo Thang, liitwalo (Miss Tanzania), limeanza kuzua utata kutokana na mawazo ya wengi walioucheki wimbo huo, moja kwa moja kuhusisha mashairi yake na maisha ya aliewahi kuwa Miss Tanzania 2006 Wema sepetu.


Nilipata nafasi ya kuongea na Solo Thang kwa njiaya mtandao ambapo amesema haya yeye amekuwa akishangazwa na maneno hayo na kuthibitisha kuwa hajamzungumzia Wema wala Miss yeyote wa Tanzania ila anaizungumzia nchi yake Tanzania na vitu vizuri vilivyokuwemo na matumizi yake mabaya ya rasilimali zetu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...