Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr Jakaya Mrisho Kikwete azindua rasmi mradi wa majisafi na usafi wa mazingira eneo la Swaya Jijini Mbeya leo

 Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa anawasili eneo la Sweya mchana huu kwa ajili ya uzinduzi wa Mradi wa maji safi 
 Mamia ya watu waliofika Kuhudhuria na kushuhudia uzinduzi huo 
 Hili ndilo eneo ambapo Mh. Rais Jakaya Kikwete alifika na kuzindua Rasmi
 Mh. Dr Rais Kikwete akisalimiana na Baadhi ya watu wanao husika na Mradi eneo hilo 
 Mh. Dr Jakaya kikwete akizungumza jambo wakati wa uzinduzi huo 

 Wageni waalikwa wakiwa wanashuhudia Tukio hilo 
 Mh. Rais akiwa anaonesha kitu 
Eneo la mradi wa maji safi linavyo onekana kwa ukaribu zaidi Picha zote na Mbeya yetu Blog chini ya Tone Media www.blogszamikoa.blogspot.com

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...