Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

JAJI JOSEPH WARIOBA AKIFUNGA KONGAMANO LA TAHLISO KUHUSU KATIBA

  WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akichangia hoja  wakati wa kongamano la kujadili katiba lililofanyika katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Umoja wa Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini (Tahliso). Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph S. Warioba na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tahliso, Paul Makonda.
 MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph .S. Warioba (aliyesimama)  akizungumza wakati kongamano la kujadili katiba lililofanyika katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Umoja wa Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini (Tahliso). Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe na kushoto kwa Jaji Warioba .ni Mwenyekiti wa Tahliso, Paul Makonda.PICHA KWA HISANI YA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...