Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kushoto) akikabhi funguo za bajaj kwa Mariamu Karumba,mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) ambaye ni mshindi wa pikipiki aina ya bajaj ambayo ameshinda kupitia promosheni ya "vumbua hazina chini ya kizibo"inayoendeshwa na kampuni hiyo. MAKABIDHIANO YA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO NA SBL YALIYOFANYIKA NYEGEZI JIJINI MWANZA JANA. HAWA NI WASHINDI WA PROMOMOSHENI HII KATIKA DROO YA NNE. ALL REGURDS OLE |
No comments:
Post a Comment