Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Wema Sepetu akipozi kwa picha mara baada ya kukaa kabla ya kuanza kuchezwa kwa Demo ya filamu hiyo usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro.
Wageni waalikwa mbalimbali wakishuhudia uzinduzi wa filamu ya Super Star iliyochezwa na mwana dada Wema Sepetu kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro
Wanamzuiki, watangazaji  pamoja na waigizaji mbalimbali wa filamu waliohudhuria katika uzinduzi huo kutoka kulia ni Charles Baba wa Mashujaa Band, Hatman, Mtangazaji Benny Kinyaiya, Mchekeshaji Steve Nyerere, Muigizaj Ramond Kigosi na Richie Mtambalike "Rich Rich" wakishoo Love.
Mwanamuziki Mwinyi ambaye ndiye aliyemvisha pete ya Uchumba Wema Sepetu katika filamu hiyo alikuwepo na yeye
Mtangazaji Dina Marios kutoka Clouds Radio wa tatu kutoka kushoto na kampani yake na wa pili kutoka kulia ni Monica wa Jose Mara.
Waigizaji mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo
Kundi la THT likifanya vitu vyake katika uzinduzi huo
Ankal Michuzi na maiwaifu wake kulia na rafiki yao wakipozi kwa picha
Kulia ni Asma Makau na Dina Marios wakiwa na marafiki zao katika uzinduzi huo.
Mwigizaji Wema Sepetu akiingia ukumbini wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya Super Star aliyoizindua kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo, ikihudhuriwa na watu maarufu pamoja na wanamzuziki na waigizaji.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...