MWILI WA MAREHEMU WILLY EDWARD WAWASILI MUGUMU SARENGETI KWA MAZISHI
Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Kijiji cha Mugumu,Serengeti, wakipokea Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Jambo Leo, marehemu Willy Edward, wakati lilipowasili kijijini hapo kwa ajili ya maziko juzi usiku.
Baadhi ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Willy Edward wakiangua kilio baada jeneza lenye mwili wa marehemu kuwasili, Wiily, nyumbani kwao Mugumu, Serengeti.
Mdogo wa marehemu Willy Edward, Essy Ogunde (kushoto) akilia kwa uchungu wakati Jeneza lenye mwili wa ndugu yake likiwasili nyumbani kwao. Picha na Kamanda wa Matukio Blog.
No comments:
Post a Comment