Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

MAONYESHO YA KWANZA YA TANZANIA HOMES EXPRO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba za Shirika la nyumba la Taifa, NHC, kutoka kwa Ofisa Masoko wa Shirika hilo, Mariam Ndabagenda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya kwanza ya Tanzania Homes Expro, yaliyofanyika Juni 10 katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Shirika hilo, William Genya (wa pili kulia) ni Ofisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika hilo, Emmanuel Lyimo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba 220 zinazojengwa eneo la Jangwani Beach, jijini Dar es Salaam, zinazotarajia kutumia jumla ya Sh. Milioni 208, kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Global Land Solutions Ltd, Murtaza Adamjee.
You might also like:

Yaliyojiri katika Mkutano wa CCM kwenye Viwanja vya Jangwani Jumamosi Juni 09

Vijana wakichangamka kurudisha kadi za Chadema mbele ya Nape na Kinana.
Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.

Maelfu ya watu wakiwa kwenye mkutano wa CCM, Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.

Mlia nguo za CCM, wakiwa kwenye mkutano huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana.

Wana-CCM wakiwa na bango lenye ujumbe  maalum.

Moja ya mabango yenye ujumbe muhimu.

Bango la kumpongeza Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira Uratibu na mahusiano, akizungumza kwenye mkutano huo.

Waziri wa Ardhi , Profesa  Anna Tibaijuka akihutubia.

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia.

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akihutubia.

Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo.

Watangazaji wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo.

Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa.

Nape akicharaza gitaa na bendi ya Vijana Jazz.

Viongiozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo.

Msanii Chege akitumbuiza.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...