KAMATI YA MISS TANZANIA YATEMBELEA MAZOEZI YA MISS CHANG'OMBE JANA
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la kumtafuta malkia wa kitongoji cha Chang'ombe yaani Miss Chang'ombe linalotarajiwa kufanyika jumamosi ijayo kwenye ukumbi wa Quality Center jijini Dar es salaam, kamati ya Miss Tanzania imetembelea mazoezi ya warembo hao leo jioni katika viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe.
Warembo wa Miss Changombe wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akisisitiza jambo wakati alipoongea na warembo hao leo, kutoka kushoto ni Aidan Rico Afisa uhusiano Miss Tanzania , mmoja wa warembo walioshika nafasi za juu miss Tanzania mwaka jana na Albert Makoye mkuu wa itifaki Miss Tanzania.
Warembo wakiwa katika mazoezi ya shoo ya ufunguzi.
Warembo wa Miss Changombe wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Warembi wakiaza rasmi mazoezi yao mara baada ya mazungumzo na kamati ya Miss Tanzania.

Kutoka kushoto ni Hashim Lundenga, Bosco Majaliwa na baadhi ya warembo waliohudhuria katika mazoezi hayo.
No comments:
Post a Comment