Happy Birthday Theo Chanda
Ilikuwa ni Bonge la Surprise kwa mwana dada Theo Chanda (laiyeshika keki) kutoka Precison Air pale alipo shushiwa keki ya Birthday wakati wa mlo wa mchana katika Hoteli ya Kitalii ya Chaminuka iliyopo umbali Kilometa 48 kutoka mjini Lusaka na iliyo zungukwa na Hifadhi binafsi ya Wanyama iliyo na ukumbwa heka 10,000.
Theo pamoja baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Precision Air na wateja wao wapo Lusaka Zambia wakiangalia vivutio mbalimbali vya Utalii baada ya Uzinduzi wa Safari mpya za Shirika hilo Lusaka Dar kupitria Lubumbash.
Theo Chanda akikata keki hiyo
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Presicion Air, Alfonse Kioko nae alikuwepo.
Theo akiteta jambo na rafiki yake Yvonne Baldwin pia kutoka Precision Air

Mustafa Hassanali nae alitoa pongezi
Mikonozz nayo ya pongezi ilikuwepo.
No comments:
Post a Comment