Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

UBINGWA WA SIMBA KUSHEREHEKEWA DAR LIVE MEI 27

 Kombe la Ubigwa wa Simba ambalo wapenzi watapata nafasi ya kupiga nalo picha siku ya sherehe hizo ndani ya Dar Live.
      Kamwaga akiwa  na  kombe la ubingwa.
  Nahodha wa  Simba, Juma Kaseja,  akielezea  sherehe hiyo.
  Mpiga picha wa Global Publishers, Issa Mnally (kushoto) akiwa amebeba kombe hilo na mmoja wa wazee wa Simba, Juma Issa Matali.
 Mratibu wa Burudani wa Ukumbi wa Dar Live, Juma Mbizo (kushoto) akiongea na waandishi juu ya sherehe hizo.
      Ezekiel Kamwaga (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).
    Juma Kaseja akiwa na makombe mbalimbali ambayo Simba wameyatwaa miaka ya nyuma na sasa.
 Waandishi wa habari wakiwa kazini katika hafla hiyo. 
 ----
KLABU  ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imepanga kufanya sherehe kubwa ya kutwaa ubingwa wa soka wa Ligi Kuu ya Vodacom katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live siku ya Mei 27, Jumapili, wiki hii.

Akiongea na waandishi wa habari leo mchana, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ezekiel Kamwaga,  alisema kuwa wameamua kufanya sherehe hizo ndani ya ukumbi huo kutokana na ubora wake.

Aidha Kamwaga alisema kuwa siku hiyo pia watawatambulisha wachezaji wapya waliosajiliwa kwa msimu ujao wa ligi na kuwataka wapenzi wa Simba  na wananchi wengine kujitokeza kwa wingi siku hiyo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...