Kwa sasa mwili wa marehemu umewasili katika Viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam, na ibada ya kumuaga inaendelea. Mwili wa marehemu umepokelewa Viwanja vya Leaders ukitanguliwa na mapokezi ya wazazi wake, viongozi mbalimbali wa serikali ambao juu yao kabisa alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Saa 4:49 asubuhi: Ratiba ya mwanzo imebadilika kidogo, kwa sasa baadhi ya viongozi wa serikali wanaaga mwili wa marehemu.....kwa maelezo zaidi bofya hapa
No comments:
Post a Comment