Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

ASKARI WA JESHI LA POLISI NA POLISI WA JIJI WAVAMIA UBUNGO DARAJANI NA KUVUNJA VIBANDA VYA WAKAZI WA ENEO HILO JIONI HII

 Askari wa jiji wakiwa wamevunja vunja  vibanda vya wafanya biashara wadogo wadogo na kwenda kutupia Dampo
 Polisi Muda huu wakiwa wameimarisha ulinzi huku Askari wa jiji akiendelea na Bomoa bomoa
 Majeshi ya Polisi yaongezwa zaidi kuimalisha ulinzi hawa ni FFU
 Askari wa kikosi cha FFU wakiwa wamewasili eneo la tukio kuimalisha ulinzi zaidi
 Hawa ni Baadhi ya watu wapo wamelala humo ndani wameumizwa vibaya na wanawaishwa Hospitali muda huu.
Ulinzi umezidi imalishwa zaidi haya ni magari makubwa ma nne ya polisi ambayo yameyanda eneo hilo kuelekea River side huku Bomoa bomoa la vibanda linaendelea.
 Hivi ni vibanda ambavyo vipo njiani lakini havija bomolewa
Baadhi ya wadau wakiwa wamekamatwa na wapo chini ya ulinzi
Picha zote na mwandishi wetu aliye eneo la tukio muda huu.Dar Es Salaam Blog

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...