Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira Bw Richard Muyungi akitowa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Miradi ya Kupunguza Gesi ya Joto kwa Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais yaliofanyika Leo Kwenye Ukumbi wa Karimjee Mjini Dar es Salaam
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rasi wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Bw Richard Muyungi[Pichani hayupo]akitoa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Miradi ya Kupunguza Gesi joto huko kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Tathimini na Ufuatiliaji Bi Grace Ngallu wakati wa Mafunzo ya Utaratibu wa Utekelezaji wa Mradi wa Kupunguza Gesi Joto Mafunzo hayo yalioandaliwa Kwenye Ukumbi wa Karimjee Mjini Dar es Salaam Katikati Naibu Katibu Mkuu Ofisiya Makamu wa Rais Eng Ngosi Mwihava[Picha na Ali meja]
No comments:
Post a Comment