Tangaza Biashara yako hapa kwa bei nafuu wasilana nasi kupitia 0712 455 139 au 0687 233 209 wote mnakaribishwa. Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

Advertise your Business here at very cheap price Contact us through +255 712 455 139 or +255 687 233 209 your all welcome.

THE BRAND NEW TIMES FM

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa akielezea historia na mafanikio ya kituo hicho, wakati wa hafla ya kukitambulisha upya kituo hicho, Dar es Salaam jana.Kituo hicho kilichoanzishwa mwaka 2000, hivi sasa kinaongoza kusikilizwa na watu wengi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (katikati), akiwa na aliyemwakilisha mgeni rasmi, Sihaba Nkinga (wa pili kulia) pamoja na baadhi ya wageni waalikwa.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, SihabaNkinga akihutubia kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Emmanuel Nchimbi, wakati wa hafla hiyo.
Mmoja wa watangazaji wa Times Radio FM, Ali Masoud 'Kipanya'  akiongoza hafla hiyo.

Picha na Richard Mwaikenda

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...