na katika ViHizo Ni Baadhi ya Picha Na Matukio ya Sherehe za Mahafali ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyofanyika Jawanja vya chimwaga na Leo Tena Kuna sherehe ya Pili ya Mahafali kwa Wahitimu wa Vitivo vya Elimu na Kitivo cha Mawasiliano ya Kompyuta
ambapo jana Ilikua ni Mahafali ya Kitivo cha Sayansi za jamii, Sanaa na Lugha, na
Kitivo cha Sayansi asilia na Hesabu vyote vya Chuo Kikuu Cha Dodoma.Mpaka sasa Naingia Mitamboni Mahafali ya leo bado haijaanza na wahitimu walikua wanafanya reheasal.
No comments:
Post a Comment