Terehe 24 ni siku ya kwanza ambapo Mh sugu alikuwa sehemu ya tukio na magenge ya vinega wakitizama maandalizi ya BIG STAGE ya kutisha ikifungwa na vitu kuletwa na magari waandishi walikuja nao kuchukua yanayoendelea,hii video inaonesha toka saa 4 asubuhi mpaka saa 5 usiku. by peen lawyer.
No comments:
Post a Comment