Mbunge Mteule wa igunga Dk Kafumu Atua Jijini Dar es Salaam Kwa Kishindo

Guninita akimpongeza Dk. Kafumu

Dk. Kafumu akiwasalimia wananchi katika mkutano huo. Kulia ni Nchemba
Mwigulu akifafanua kwa kina siri ya ushindi wa CCM kwamba ilikuwa ni mshikamano

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo

MBUNGE mteule wa Igunga, Dk. Peter Kafumu (CCM), akipongezwa na Kamanda wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik Choughule wakati wa mkutano wa kusherehekea ushindi wa CCM katika jimbo hilo, uliofanyika , Viwanja vya Bakhresa, Manzese Dar es SalaamKatikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CCM, Matson Chizi.
KAMANDA wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik Choughule, akimzawadia Mbunge mteule wa Igunga, Dk. Peter Kafumu (CCM) wakati wa mkutano wa kusherehekea ushindi wake , uliofanyika Viwanja vya Bakhresa, Manzese Dar es Salaam,.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CCM, Matson Chizi na wa pili ni Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Temeke, Ayoub Chamshana.

Majembe ya CCM, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba wakijadili jambo kwa makini wakati wa mkutano huo

Juakali wa TOT Plus akifanya vitu vyake

Watu kibao wakishangilia mbunge mteule wa Igfunga kwenye mkutano huo

Watu wakiuaga msafara wa mbunge mteule.Picha na Bashir Nkoromo na Mpoiga Picha Wetu
No comments:
Post a Comment